News
Derek Dixon amemfungulia mashitaka muigizaji mwenzake na mtayarishaji maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani, Tyler Perry ...
Meja Jenerali Mabele amewatoa hofu vijana kuwa jeshini hakuna mateso bali kuna mafunzo yanayolenga kuwafanya kuwa wakakamavu.
Amesema Catherine Inocent Petro amefikia uamuzi huo baada ya kuwa na migogoro ya mapenzi na mume wake na kuamua kunywa sumu ...
Mwanamuziki nyota wa Injili kutoka Nigeria, Mercy Chinwo, ameingia nchini kwa ajili ya Tamasha la Twen'zetu kwa Yesu 2025, ...
Uamuzi huo unatoana na Serikali ya Marekani kutoa orodha ya baadhi ya nchi za 36 baadhi yake kutoka barani Afrika ikiwemo Tanzania ambazo raia wake wanaweza kukutana na marufuku kuingia nchini humo.
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika Shule ya Sekondari ya Amali ya MwamaPalala, iliyoko katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu.
Serikali itawachukulia hatua kali za kisheria watoto wote ambao watashindwa kuwatunza au kuwadharau wazazi wao ambao ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametaka watafiti katika sekta ya afya, wataalamu na wapangaji wa sera kuwekeza ...
Nafasi saba zitawaniwa katika Uchaguzi huo Mkuu wa TFF mwaka huu ambazo moja ni ya urais na nyingine sita ni za Ujumbe wa ...
Jeshi la Israel limeripoti kwamba mafungu mawili ya makombora kutoka Iran yalirushwa kuelekea Israel katika saa mbili za ...
Mwanamuziki Diamond Platnumz tayari amemaliza ziara yake nchini Uingereza baada ya kupiga shoo tatu kwenye miji mikubwa ...
Mwanamuziki kutoka Canada, Justin Bieber ameendeleza vita yake na Paparazi (waandishi wa udaku) ambapo jioni ya jana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results