News

Katibu Tawala Wilaya ya Bahi, jijini Dodoma, Mwanamvua Bakari amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuwapotosha watoto ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Steven Kipara (38), mkazi wa Ipwizi Wilaya ya Mbeya kwa tuhuma za kupanga njama na kukodi watu kwa lengo la kumuua mama yao mzazi Kweli Lugembe ...
Wakati Halmashauri ya Mkuranga ikiwa imepata hati safi kwa miaka tisa mfululizo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Abubakari Kunenge ametaka hati hizo ziendane na miradi inayowagusa wananchi moja ...
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki safari ya mwisho hapa duniani ya wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) ...
Mfanyabiashara Wilson Elias, baada ya kutaka kukatishwa ndoto yake ya kuwania Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu kwa tiketi ya Chama Cha Tanzania Labour Party ...
Amesema Catherine Inocent Petro amefikia uamuzi huo baada ya kuwa na migogoro ya mapenzi na mume wake na kuamua kunywa sumu ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametangaza fursa ya uwekezaji wa bandari kavu katika Jiji la Arusha kwa ajili ya ...
Mohamed Shaib Saleh, mkazi wa Pemba, ameokolewa salama baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye boti ya Zanzibar 3 iliyokuwa ...
Zikiwa zimepita siku 42 tangu kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Nyagali, familia yake imeiomba Serikali pamoja na vyombo vya ...
Pinkas amesema lengo kuu la mashambulizi ya Israel ni kulipua kituo cha Fordow ambacho ni kikubwa cha kurutubisha urani ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitashinda uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kishindo katika mazingira huru na haki.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche ameeleza hayo wakati akizungumza na Watanzania kwa mtandao leo Juni 17, 2025 ...