News

Katibu Tawala Wilaya ya Bahi, jijini Dodoma, Mwanamvua Bakari amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuwapotosha watoto ...
Mohamed Shaib Saleh, mkazi wa Pemba, ameokolewa salama baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye boti ya Zanzibar 3 iliyokuwa ...
Pinkas amesema lengo kuu la mashambulizi ya Israel ni kulipua kituo cha Fordow ambacho ni kikubwa cha kurutubisha urani ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche ameeleza hayo wakati akizungumza na Watanzania kwa mtandao leo Juni 17, 2025 ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitashinda uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kishindo katika mazingira huru na haki.
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki safari ya mwisho hapa duniani ya wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametangaza fursa ya uwekezaji wa bandari kavu katika Jiji la Arusha kwa ajili ya ...
Amesema Catherine Inocent Petro amefikia uamuzi huo baada ya kuwa na migogoro ya mapenzi na mume wake na kuamua kunywa sumu ...
Sekta ya bima nchini inaendelea kushuhudia ukuaji mwaka hadi mwaka, huku bima ya vyombo vya moto ikiongoza kwa kuingiza ...
Zikiwa zimepita siku 42 tangu kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Nyagali, familia yake imeiomba Serikali pamoja na vyombo vya ...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Iringa kimewaonya na kuwaasa wagombea wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi ...