News

Misheni hiyo ya tathmini kabla ya uchaguzi (Pre-election Assessment Mission – PAM), iliyoongozwa na Dk. Phumzile Mlambo-Ngcuka, Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, iliwakilishwa na wajumbe 16, na ...
MTWARA — Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, amesema kuwa Mkoa wa Mtwara una jumla ya hekta 16,644 zinazofaa kwa kilimo ...
Ameongeza kuwa kwa sasa, usafirishaji wa mazao hayo unafanyika kupitia makasha maalum ya kuhifadhia bidhaa zinazoharibika ...
Akizungumzia uzalishaji wa gesi asilia, mkuu huyo wa kitengo alieleza kuwa PURA imeendelea kusimamia na kudhibiti shughuli za uzalishaji wa gesi asilia kutoka katika kitalu cha Mnazi Bay kilichopo ...
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili ( MOI) imepeleka huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi walioko mikoa ya kanda ya kati ikiwemo Dodoma.
“Uwekezaji huo umeongeza idadi ya wanafunzi wa sekondari kutoka 9, 458 mwaka 2022 hadi 12, 630 mwaka 2025, huku wanafunzi ...
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amewataka wananchi wa Iringa na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi ...
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameishauri Wizara ya Nishati kuendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayowezesha uwekezaji ...
ARUSHA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu) Ridhiwani Kikwete amewaagiza maofisa manunuzi na ...
Utafiti huo mpya umeonesha kwa watoto wa kike ukatili wa kingono umepungua kutoka asilimia 33 hadi asilimia 11,ukatili wa ...
Prof Rwekaza Mukandala kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam amesema mafunzo hayo yaliyoanza Juni 9 ambayo yanatarajiwa ...
Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu leo Juni ...