News

Lakini, je, kweli tuko tayari kwa mabadiliko haya makubwa? Makala hii itaangazia fursa, changamoto, na nini kifanyike ili ...
Utekelezaji wake unalenga kuifanya Sabasaba kuwa kitovu cha kisasa kinachovutia wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi.
Bajeti ya Serikali ndio bajeti kubwa kuliko bajeti zote nchini na inatoa mwelekeo wa uchumi pamoja na maendeleo ya nchi.
Uwepo wa Bunge ni matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 (Ibara ya 62(1) na kadhalika, majukumu ya Mbunge ...
Ama kweli sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma, ndio maneno unaweza kuyatumia kuelezea namna mzee wa miaka 70, Victory ...
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo manne muhimu mkoani Simiyu, likiwemo alilolielekeza Wizara ya Kilimo kuhakikisha ...
Ofisa Matekelezo mkuu wa NSSF Mkoa wa Manyara, Amina Kassim akisoma taarifa kwa waandishi wa habari ofisi kwake mjini Babati.
Unaweza kusema ni Jumatano ya mkono ambapo timu zote 16 zimekuwa kwenye viwanja nane tofauti kuendelea kusaka hatma kuelekea ...
Kutokana na taarifa hiyo, Balozi Possi aliieleza Mwananchi kuwa Serikali ingetoa msimamo wa kidiplomasia kwenye vikao vya ...
Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA) imetangaza kuwa, licha ya mafanikio ya kusajili jumla ya meli 973 za kimataifa ...
Jeshi la Polisi limevunja ukimya kuhusu taarifa za matukio ya utekaji na mauaji likitoa ufafanuzi wa matukio kadhaa ...
Amesema sambamba na ukamataji huo, jumla ya pikipiki 28 zimekamatwa, ambapo tisa kati ya hizo hazina namba za usajili, na ...